Lekhny post -05-Feb-2022
Pombe
Dear generation
Tukiwa chuo walisema tutie bidii na tusitumie pombe,
Hata hayati Pombe Magufuli John alisema tuache mihadarati,
Inatueka into worry coz lorry za beer hupita kwetu daily,
Namwona mzae na crate utadhani tukona bash tukunywe crate ya soda kumbe ni tei,
Kwa teo wanatest drunk users yet kileo tei ndo say,
Wanakesha job kwa night clubs na bado tei ni illegal,
Me venye niligrow mtaa yetu kuna wale morio waraw na roho zao ni changa,
For now huwezi jua toto na baba wako addicted,
Huwezi imagn wao ni watoi wa mom na dad which is so sad,
Unaona neighbour amekuwa rada juzi tumemrescue akijiua baadae anajishaua,
Bado nasikia pombe haifai lakini sai ni kwa wale below 18 years,
Lakini leo its like everyone ako above 18 below 18 wanacheza ball kwa mall,
Because halls zinatumika kwa mihadarati na party,
Husikii ad bila kuvuta siwezi rada kitu exam peddy wangu ni sam,
Kwa ploti anajaza wateja ka caretaker ad kwa hao akona tanker,
Ukitaka kuwa famous anzisha biashara ya pombe na uombe tu,
Lakini sir God atasikia maombi for sure hio ni bure but be sure utafaulu,
Kwa masanze kata tu kiasi hongo kiasi tu wanaingia box,
Biashara imejipa na sifa tunakutapa wakikosa kupa watakufa,
Ni ukweli gava haiwezi funga clubs sa watatoa wapi doh,
Daily unawapa soo thats why ni poa kutumia kiac ad kwa bible mzae aliona ivo ni humble,
Still rule ni ile ya no alcohol for those below 18
Fanya hivo cheza ka wewe hakuna mwenye anacome na id idea ni doh,
Najua kulewa si kufail in life najua drunks si curse ila hufai kutumia drugs,
Dear bro and sister,
Pombe hutoa stress na depression but pombe kills,
Drugs are to be sold for those above 18 years,
Drugs makes us rags in brain and clothes,
Usijali hio ni sherehe hio ni raha unajipa,
Piga sherehe pombe usiregret na pesa isiishe kwa bet
Manze mzae alikufa after amelewa pombe,
But pombe ya kikombe mbona iishe nchini,
Tuache pombe!!!!
@dafina
Miss Lipsa
09-Feb-2022 08:58 PM
Awesome
Reply
Ann
08-Feb-2022 09:27 PM
Fantastic
Reply
Smiley 😍
08-Feb-2022 09:14 PM
Superb
Reply